WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Lushoto idara ya msingi nije Moshi V, Moshi M, Rombo, Siha, Hai. 0758121353, 0684533627.
 
Njoo lushoto mjini kuna huduma zote shule inaitwa ngulwi secondary nije muheza tanga mjini morogoro chalinze mlandizi au daresalaam au babati manyara nicheki 0659597777
 
Mwalimu wa MULEBA MJINI anataka kuhamia kati ya BUNDA MJINI / MUSOMA MANISPAA. Idara SEC. Pig 0683698554 NITAKUUNGANISH
 
Ntakasime 00:08 Yesterday
Njoo Arusha DC Mimi nije morogoro manispaa.idara ya sec.Mimi nipo ilboru sec. 0764776655 au 0658221998
 
Mwl yupo Newala mtwara anatafuta wa kubadilishana kutoka mikoa ya
Morogoro
Iringa
Njombe
Mbeya
Rukwa
Idara mcng
0689976850
 
Mwl yupo Rukwa anatafuta wa kubadilishana na walimu waliopo mikoa ya
Mbeya
Njombe
Iringa
Idara mcng
0689976850
 
]Njo sengerema mwanza nije masasi mtwara, sekondari. Nichek kwa 0716299698.

MKUU NITAKU PM
 
Njoo Same Kilimanjaro nije Rombo, Moshi V, Moshi M, Siha, Hai Idara ya Sekondari. 0788399310
 
idara ya msingi njoo kasulu mjini nije mikoa ya kaskazini wilaya yoyote .
ARUSHA KILMANJRO MANYARA BABATI TANGA MOROGORO 0753045623///0784623525.
 
Njoo ruvuma idara secondary nije kaskazini mkoa wowote namba 0752995287
 
Back
Top Bottom