WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
idara ya msingi niko kasulu mjini nataka kuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KILMANJRO MANYARA BABATI TANGA MOROGORO 0753045623////0784623525
 
Mwl idara Sec yupo MASASI-MTWARA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MBEYA- KYELA au RUNGWE.
No:0685615543 au 0766769003
 
Njoo MUSOMA MJINI nije kati ya MBEYA JIJI / IRINGA MJINI / NJOMBE MJINI. Idara ya SEC. 0683698554
 
Njoo MUSOMA MJINI nije kati ya MBEYA JIJI / IRINGA MJINI / NJOMBE MJINI. Idara ya SEC. 0683698554
 
MWALIMU WA SEC. yupo BUNDA(MARA) anataka MBEYA JIJI, MOMBA, KYELA,MBARALI,ILEJE,MBEYA VIJIJINI,RUNGWE,MBOZI. 0683698554
 
Natafuta wa kubadirishana naye mi niende mbya jiji,mbozi,mbalala,rungwa na mbalali,yeye aje tabora mjini 0754019061
 
Anayetaka kuja biharamulo-kagera anipm mradi atokee iringa,Moro,DSM,pwani,mbeya au mtwara.
 
Idara ya msingi njoo Halmashauri ya shinyanga mie niende songea,namtumbo au tunduru Mkoa wa Ruvuma. 0762801368.
 
Back
Top Bottom