WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
njoo tarime halmashauri idara ya sekondari nije wilaya yoyote ktk mikoa ya njombe
iringa
mwanza
mbeya
morogoro
dodoma
namba 0755500534
 
wasubi, wahaya na waha wa biharamulo-kagera njooni mjenge mji wenu huku hasa wale mliopo mbeya,iringa, njombe na morogoro idara ya sekondari, tuwasiliane tuanze mchakato kabla ya mwez wa kumi.
 
Kuna mwl wa SEC. MUSOMA MANISPAA anataka kuhamia KYELA,MBARALI,MBOZI,ILEJE,MBEYA JIJI,RUNGWE. 0683698554 NITAKUUNGANISHA
 
Mimi ni mwl nipo geita natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka kagera wilaya muleba,bukoba vijijini,bukoba mjini,karagwe
 
Mimi ni mwl nipo geita natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka kagera wilaya muleba,bukoba vijiji,karagwe,misenyi,tuwasiliane kwa number 0755095435,0752142686
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0767425007
njoo nyimbo-mpanda
 
Natafuta mwl wa kubadilishana naye,aje LINDI MANISPAA nije mikoa ya MWANZA,SHINYANGA na SIMIYU.Idara sekondari.
 
Njoo LINDI MANISPAA nije mikoa ya MWANZA,SHINYANGA au SIMIYU.Idara sekondari.Nichek;0752038964/0718038964
 
Back
Top Bottom