WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
idara ya msingi niko kasulu nataka kuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KILIMANJARO MANYARA BABATI TANGA MOROGORO 0753045623////0784623525
 
Idara ya msingi njoo kasulu mjini nije ARUSHA NGORONGORO 0753045623////0784623525
 
Nipo Singida vijijini idara msingi nihitaji Mwalimu WA kubadilishana nae mkoa WA MBEYA wilaya yeyote RUKWA au njombe ni PM
 
Mwl idara secondari.Njoo Tarime DC-nyamongo mi nije kati ya manispaa zifuatazo morogoro,Kiba
ha na Dar-es-salaam wilaya yoyote namba yangu 0767322102/0712322102
 
Mwl idara msingi yupo MTWARA-TANDAHIMBA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MBEYA , RUKWA au MOROGORO.
No:0787515966
 
Back
Top Bottom