WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Mwalimu yupo korogwe Tanga anatafta wa kubadilishana nae idara sec nenda korogwe yeye aje mbeya au sumbawanga 0675002038
 
Mwl idara sec yupo SIMIYU-MASWA anatafuta Mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka BABATI , ARUSHA au MOSHI.
No:0682 134 830
 
Mwl idara msingi yupo RUKWA-SUMBAWANGA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka IRINGA-KILOLO , MBEYA au MOROGORO.
No:0762 072 649
0786 728 400
 
idara ya msngi niko kasulu nataka kuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KILMNJRO MANYARA BABATI TANGA MOROGORO 0753045623///0784623525
 
Back
Top Bottom