WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
ANAYETAKA KUJA (IRINGA KILOLO) ANITAFUTE, IDARA SEC ATOKE CHALINZE,KIBAHA,KISARAWE,MKURANGA,BAGAMOYO AU SEHEMU ZILIZOPO KARIBU NA HIZO. Mazingira ni mazuri kuanzia usafiri wa daladala muda wote kwenda manispaa ni dk20. Tsd na check no zote zipo. Nitafute 0764523861.
 
mwalimu, idara shule ya msingi nipo kilwa naomba yeyote kutoka mikoa hii
Iringa
mbeya
morogoro
njombe
 
anayetaka kuja iringa -kilolo , nami niende pwani wilaya yoyote. tuwasiliane 0754880778
 
Mimi ni mwalim niko lind nachingwea nataka kwenda moro manispaaa,au chalinze pwani na sehem yoyote njia ya kwenda mbeya.mwenye uhitaji tubadirishane
 
Njoo Iramba Singida,nije Moro,Iringa au Mbeya,wilaya yoyote idr sec, phone No 0759003031.
 
Jamani ninamdogo wangu anahitaji Mwalimu kuja Dodoma manispaa idara ya sekondari na yeye aende Morogoro wilaya ya Mvomero
 
Kwa wale wa Mtwara & Lindi karibu kwenu nije Bukoba au Missenyi idara Sec Nitafute 0782906610
 
Back
Top Bottom