WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
idara ya msingi niko KASULU MJINI natakakuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
NGORONGORO -ARUSHA
 
ok mwl, idara ya sekonday, ayayetaka kuja arusha na mm niende mbeya, 0787 055538
 
Njoo kilwa masoko, idara ya sekondari..dogo aje bagamoyo,kibaha,mkuranga,kisarawe au dar wlaya yoyote
 
njoo lushoto mjini karibu na chuo cha mahakama nije moro tabora dsm mlandizi au pwani nicheki 0659597777
 
Natafuta mtu wa kubadirishana nae mimi mwalimu s/msingi nipo mbeya nataka kwenda Dar no ya simu 0715458878
 
Back
Top Bottom