WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Mwanza Misungwi nije Arusha, Karatu, au Arumeru idara ya sec
 
Anayetaka kuja MASASI, mi niende mikoa ya kaskazini(KILIMANJARO,TANGA,ARUSHA au MANYARA). Idara SEC
 
NIPO IDARA YA MSINGI, njoo kilwa mi niende singida manispaa. tuwasiliane kupitia 0755015152
 
anayetaka kuja arusha longido na mimi niende iringa au mbeya. idara sekondari tuwasiliane. 0787 055538
 
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Njoo Lushoto Nije Kati Ya Korogwe, Muheza, Tanga Mji,Kibaha, Dar, Moshi Manispaa Au Dodoma Manispaa. Idara Ya Elimu Sekondari. 0717008771/0683436242
 
Anayetaka kuhamia iringa vijijini idara ya secondary mi nije tanga mjini.tuwasiliane
 
Back
Top Bottom