WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu anayehitaji kuja rungwe nije kisarawe, idara msingi
0787401915/0764335350
 
Idara ya msingi njoo KASULU MJINI nije kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KILIMANJARO ..mwenye utayar ni PM
 
jamani jaman! mwenye hitaji la kuja iringa kilolo mie niende pwani ama morogoro tuwasiliane namba 0754880778.
 
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Njoo kasulu mjini nije mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KILIMANJARO MANYARA .mwnye utayar ni PM
 
Njoo kagere mim nije arusha ,kilimanjaro au manyara wilaya yoyote idara sekondari.0758165769
 
Njoo kagera mim nije arusha ,kilimanjaro au manyara wilaya yoyote idara sekondari.0758165769
 
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Back
Top Bottom