WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo MUSOMA MJINI nije kati ya MBEYA MJINI, NJOMBE MJINI, IRINGA MJINI. Idara SEC. 0756877916 / 0683698554
 
Mwalimu kutoka MASWA mjini anataka kubalishana kituo cha kazi kutoka mbeya mjini/vijijini,idara ya sec.
0756945368
 
Nmerud tena jaman kwa anayehtaj Kuja mbeya wilaya ya rungwe nije tanga idara mwl msingi tutaftane kwa 0752943198
 
idara ya msingi njoo KASULU MJINI nije mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
ARUSHA KLMNJRO MANYARA .mwnye utayar ni PM
 
Zamu yako 2015 nawatakia idi alfitir kariimu wana jf wote na tusherehekee kwa amani na utulivu huku tukiliombea taifa letu amani ktk kipindi hiki cha uchaguzi na mungu atujalie kumpata kiongozi bora #nyarugusu nomaa
 
Back
Top Bottom