WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwl idara ya mcng njoo kibondo-kigoma mwl aje ngara-kagera,cm no:0789070874 wahi bahati hio.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
njoo arusha ngoro ngoro na mm nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
 
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji (dc), moshi vijjni, hai, siha, chalinze, kibaha or dar es salaam idr mcngi 0764910615
 
Njoo kasulu mjin nije mikoa ya kaskazini
ARUSHA Kilimanjaro manyara
Idara ya msngi alie tayar aniPm
 
Anaetaka kubadilishana kituo aje rufiji niende manyoni, pm tuongee
Idara ya sekondari
 
Back
Top Bottom