WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondary.
 
njoo arusha ngoro ngoro nije tanga au morogoro. idara secondary. 0755707867
 
njoo arusha ngoro ngoro na mm nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
njoo lindi liwale wilayani kabisa idara ya sekondari nije pwani wilaya yeyote 0763201046
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondary.
 
njoo Singida wilaya ya Ikungi nije Pwan wilaya yeyote au mbeya wilaya yeyote ile ile maciliano
0688234787 secondary
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Idara ya msingi njoo kasulu mjini nije mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
Arusha .kilimanjaro. manyara mwenye utayar ani PM
 
Back
Top Bottom