WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kigoma kibondo nije mikoa ya kusini yaan Tabora, singida, Dodoma, morogoro mpaka kusini mwa Tanzania, contact nami kwa 0682987315 au 0758260941 au tuma sms utatafutwa kama Almasi
 
Njoo LUSHOTO-TANGA idara SEKONDARI,nije MBEYA VJJN,MBEYA MJN AU MBOZI. 0764785578
 
njoo arusha na mm nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
 
kuweni makini hii ni namba ya tapeli. 0676561350. kanipigia eti nimpe elfu tisini anipe uhamisho manispaa ya morogoro. anajidai eti ni ofisa kumbe kibaka. kuweni makin ndugu zangu. embu mtumie sms ya kumkaan walau abadirike. amenikera
 
leo ni mwisho kupost tangazo manake toka mwakajuzi sipati mtu wakubadilishana nae duuuuu!haya njoni muheza nije kibaha,au wilaya yoyote ya dar es salaam idara ya sekondari

Usikate tamaa ALLAM,nimetafuta mtu wa kubadilishana kituo miaka4 hatimaye mwez7 mwaka2015 nikafanikiwa kupata uhamisho. Kuwa na subira na uwe na dhati ya kuendelea kutafuta,wakati unaohisi kuchoka ndio unampata.
 
Back
Top Bottom