WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Ruvuma wilaya ya Tunduru,Mimi nije Songea Municipal au Namtumbo, idara shule ya msingi 0687535650
 
ndg Serikali LCM, iringa kilolo, shule iko jiran na ilula unaweza kuja. kuna mwl yupo tayr.
 
Njoo Bukoba -DC nije
Ilemela
Nyamagana
Tanga jiji
Kilimanjaro (Moshi mjini)
au
Bagamoyo ...idara sec tuwasiliane 0785373410
 
Njoo LUSHOTO-TANGA idara SEKONDARI,nije MBEYA VJJN,MBEYA MJN AU MBOZI. 0764785578
 
mimi nipo Kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja Dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na DAR au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina TSD namba, barua ya kuthibitishwa na barua ya kudumu ya ajira,, nataka kurudi home TANGA manispaa au hata wa Dodoma manispaa pia naweza kubali. if you are interested poke me through sheizashafi@yahoo.com

Ungekuwa msingi ningekuja kutoka Arusha
 
Naitwa mwl godwill e. Medukenya wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa shule ya sekondari kibakwe. Natafuta mtu wa kubadilishane nae mimi niende halmashauri ya arusha dc, meru, karatu au monduli. Contacts: 0762430192/0786649031

Daah ungekuwa mcngi ningekuja nipo KARATU mjini Arusha
 
Nipo wilaya ya KARATU mjini mkoa wa Arusha, natafuta wa kubadilisha nae ktk mkoa wa Pwani-kibaha, mkuranga, na Morogoro-
 
njoo MAHENGE mjini mkoa wa morogoro nije dar es salaam,morogoro mjini,arusha jiji,arusha DC au babati mjini na vijijini.idara secondary.mawasiliano 0652040227,0687648684
 
njo muleba mjini (kagera) Mimi nije songea mjini idara ya secondary namba zangu ni 0719716166.
 
Njoo lushoto tanga idara ya msingi nije Moshi V, Moshi M, Siha, Hai, 0758121353, 0684533627
 
Mimi niko Serengeti nahitaji kubadilishana na mtu ambaye yuko Magu kama utakuwa tayari tuma pm then tuyajenge
 
Back
Top Bottom