WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nipo tanga handeni nataka mbeya mjini idara ya sec 0719152715, 0754872472
 
Niko Serengeti secondary, nataka kwenda magu au misungwi au sengerema 0783650868
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Anayetaka kuja muheza mimi niende morogoro mjini,vijijini,mvomero,gairo au iringa mjini idara sec. reply hapo chini
 
Kwale wale wa same kilindi.na handeni njooni karatu idara msingi contact 0788628489
 
Idara ya msing yuko kasulu mjin anatakuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote
Arusha Kilimanjaro manyara
 
Back
Top Bottom