WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl REHEMA idara sec yupo MARA-RORYA anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka TANGA MJINI au-KOROGWE
No:0752659081 au 0719920212 au 0742416386
 
Mwl idara Sec yupo KIGOMA-KASURU anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka MOROGORO au KILIMANJARO au KIBAHA au BAGAMOYO.
No:0715206901
 
Njoo biharamulo nije bukoba au misenyi au karagwe idara ya sekondari. 0788114943 mawasiliano
 
Mwalimu wa shule ya msingi nipo bumbui ningependa tubadilishane kituo kama upo dar na upo tayar kuja bumbui tutafutane please
 
Mimi ni mwl wa shule ya msingi nafundisha mkoa wa manyara wilaya ya kiteto.

Natafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka wilaya ya MVOMERO/MOROGORO MJINI. Kama Kuna mwalimu ambaye yupo tayari kuhamia wilaya ya kiteto anitafute kupitia namba 0687138848/0715992287
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari nipo HAI-KILIMA NJARO natafuta MTU wa kubadilishana naye awe katika wilaya ya momba,mbozi na mbeya mjini namba yangu 0755174720
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Njoo singida nije rombo idara sekondari 0757409740
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai Kilimanjaro, Moshi V, Siha. Kama upo tayar 0684533627
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
Wanaohitaji kubadilishana na mimi mwl. MAKAI WA MPANDA MJINI;

Njoo MPANDA MJINI -KATAVI nije MKURANGA, ILALA, TEMEKE, KINONDONI, KISARAWE AU KIBAHA (Idara ya SEKONDARI)
 
[h=2]
icon1.png
Wanaohitaji kubadilishana na mimi mwl. MAKAI WA MPANDA MJINI;[/h] Wanaohitaji kubadilishana na mimi mwl. MAKAI WA MPANDA MJINI;

Njoo MPANDA MJINI -KATAVI nije MKURANGA, ILALA, TEMEKE, KINONDONI, KISARAWE AU KIBAHA (Idara ya SEKONDARI)
 
Back
Top Bottom