WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi mwalimu ya shule ya msingi iliyopo manispaa ya mtwara mikindani, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae nije Arusha au moshi manispaa. 0688729956 , 0719518800.
 
Njoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Wengi inaonekana hamjaridhika na mnapofanyia kazi,yaani nije kigoma kibondo wewe uje dar,nimerogwa nini! Nani asiyependa kukaa mjini.
 
Njoo wilaya ya KIBONDO , Je wewe upo wapi ili Tubadilishane vituo vya kazi . Idara ya sekondari .
0628222022 whatsapp .
 
Pole na majukum?Sisi ni Uhamisho Tanzania tunakupa fursa ya kutangaza na sisi ili kukuwezesha kupata mtu wa kubadilishana nae kwa wepesi zaidi? kwa maelezo zaidi tupigie simu no 0653415435 / 0767640993 au whatsapp no 0785166608 au tembelea facebook page yetu ya Uhamisho Tanzania au UHAMISHO TANZANIA
Asante
 
Njoo mtwara dc nije mbeya au iringa..idara sec 0768505950
Pole na majukum?Sisi ni Uhamisho Tanzania tunakupa fursa ya kutangaza na sisi ili kukuwezesha kupata mtu wa kubadilishana nae kwa wepesi zaidi? kwa maelezo zaidi tupigie simu no 0653415435 / 0767640993 au whatsapp no 0785166608 au tembelea facebook page yetu ya Uhamisho Tanzania au UHAMISHO TANZANIA
Asante
 
Njoo shinyanga mjini,nije Iringa ,idara ya sec.
0769951505

Back
Top Bottom