WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu yuko mkoa wa Mara wilaya ya Serengeti anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya kaskazini Kilimanjaro,arusha au tanga wilaya yoyote idara ya msingi,contact 0714 564440 au 0785 617508.
 
Mwalimu Fatuma H Amri (S/MSINGI) nipo kilwa, nahitaji kubadilishana na mwalimu yoyote kutoka dar manispaa yoyote anaetaka kuja Kilwa 0687858418
 
Njooo lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
Mwl idara msingi yupo IRINGA-MUFINDI anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka MOROGORO-KIROMBERO.
No:0755640652
 
Njoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Njoo lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Back
Top Bottom