WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NJOO KILINDI TANGA nije korogwe...lushoto...mkinga...muheza....bagamoyo...rufiji...kisarawe...kibaha...chalinze....mkuranga....kilosa...gairo...moro mjini...mvomero....ilala...temeke...kinondoni....mbeya mjini...rungwe...iringa mjini....songea....mbinga....tuwasiliane kwa 0686 973 854
 
NJOO KILINDI TANGA nije korogwe...lushoto...mkinga...m uheza....bagamoyo...rufiji...k isarawe...kibaha...chalinze... .mkuranga....kilosa...gairo... moro mjini...mvomero....ilala...tem eke...kinondoni....mbeya mjini...rungwe...iringa mjini....songea....mbinga....t uwasiliane kwa 0686 973 854
 
Njoo biharamulo idara ya sec nijje arusha wilaya ya rongido,himo kirimanjaro,na mwanza bunda au tanga wilaya handeni au korogwe no za cm 0764841249
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Jamani anaetaka kuja Singida nije mikoa ya kaskazini....wilaya yoyote....

Arusha
Kilimanjaro

Idara ya Sec 0769591585
 
Daah Najuta kupangwa Singida(kwanza sikupachagua)sio siri!!Watu wa huku hawataki hata kurudi makwao...

Hapa nikirudi home nikatafute tu cheti cha Ugonjwa maana kubadilishana imeshindikana!!
 
Nenda CHATO_GEITA ndugu yangu aje MBEYA wilaya yoyote. Idara ya sekondari. Nitumie msg kwa pm.
 
Njoo Kagera idara msingi nije
Tabora
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Pwani
Dar
Ruvuma
0689976850
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae niko mkoa wa MTWARA, wilaya ya TANDAHIMBA; nataka kuhamia wilaya yoyote ya mkoa wa TANGA au KILIMANJARO. Mimi mwalimu wa sekondari.
 
Back
Top Bottom