abdul real
Member
- Nov 20, 2015
- 7
- 0
mimi mwalimu abdul bakari iddi niliyopo wilaya ya mpwapwa nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyopo manispaa ya dodoma au wilaya ya chamwino. mawasiliano _0712714371 au 0628118211
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaaaah!!!!! aya bana ni wazo lako; ukisikia wa kuja tabora mi niende mbeya;iringa au njombe idr sec.wekeni na namba za wake zenu, kaeni huko mfundishe..
Njoo Mbinga nije Mbeya, Njombe,
0756088881/0715904249
Wewe unataka kwenda wapi tunaotaka kurudi tupo
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
pole sana! Mara kwa mara nakuta post yako, watu wanaogopa Arusha maisha ni magumu. Subiri uchaguzi wa ubunge upite na ujaribu tena.