WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo kilosa boys nikaribu na manispaa unapopataka nauli buku tano kuna mwl yuko tayari

Changamoto hizi wilaya za morogoro maeneo mengi ni very remote tofauti na Arusha DC ambapo eneo kubwa sana ni hapo hapo mjini. Naogopa kilosa nisije gongwa mahali hata huduma za jamii ngumu halafu kuchomoka ikawa utata.
 
vilevile mke wangu yupo shinyanga idara ya msingi anatafuta MTU wa kubadlishana nae kutoka Igunga. ukiwa tayari piga 0764776201
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha, chalinze, bagamoyo or dar es salaam idr mcngi 0764910615 au 0742501589
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Same, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo. 0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
Back
Top Bottom