WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
njoo handeni mkoa wa Tanga nije
mkuranga
kibaha
kisarawe
bagamoyo
temeke
ilala
kinondoni
idara ya sekondary
0786475050
0715475050
 
Njo Tunduru na Mimi nije Songea Municipal au Namtumbo idara ya shule ya msingi 0687535650
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Same,
Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo, Siha.
0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
Walimu nawashauri tu msikate tamaa ipo siku utafanikiwa mimi nimefanikiwa kupitia hapa natumai hata wewe wawezafanikiwa.
 
Njoo ngara mkoa wa Kagera nije Ukerewe mwanza idara ya sec kama uko tayar ni PM.
 
Njoo nachingwea nije kibaha,chalinze,moro mjin,mbeya wilaya yoyote,idara sekondary contact 0715681975
 
0765348753......0716111942...0676561350...0759903153..namba za MATAPELI HIZI KAA NAZO MBALI KAMA UKOMA
 
Back
Top Bottom