WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Mtwara nije Njombe, Songea au Mbinga. Idara sekondari.

Namba 0765070911
 
jamani watu wa tabora njon kwenu nije mbeya au iringa na njombe, secondary;near plc to hom waweza fanya ya maana badala ya kupanga budget naul kuuubwa.call 0787245301
 
jamani watu wa MASWA njooni kwenuu mimi nirudii mbeya idara sekondarii 0756945368
 
TUBADILISHANE. Kwa mwl mwenyeji wa kusini (MTWARA-NEWALA) au mikoa ya karibu. Njo Mtwara-Newala nami nije wilaya yoyote mikoa ya MBEYA,IRINGA,NJOMBE,RUKWA na KATAVI. Idara ya sekondari.0759410327
 
Dah afadhali sana. Nilikuwa natafuta sana mtu wa kubadilishana nae nije Mtwala yeye aje Songea. Hebu ni PM mambo yakae sawa ila utanipa na katakrima kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom