WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwl yuko bukoba vijijini,anaomba kubadlshana na walmu toka mikoa ya shinyanga,simiyu au manyara,idara sekondari!unaweza tumia no 0769027920/0656803210 kwa mawasiliano zaidi
 
Mwl idara ya sec yuko BUKOBA Mjini anatafuta Mwl wa kubadilishana kutoka manyara wilaya yoyote, dodoma wilaya yoyote au arusha wilaya yoyote wasiliana nae kwa 0765661749
 
Njoo mbeya wilaya ya rungwe nije tanga mjn idara mwl msingi no 0752943198 au 0719678528
 
KUWENI MAKINI NA MATAPELI WALIMU WENZANGU HAKUNA UHAMISHO WA HONGO NA WASIKU 7 AU MWEZI TAMISEMI...NAMBA ZIFUATAZO NI NAMBA ZA MATAPELI SUGU TANZANIA HII 0716111942......0782984643....0685202207.....0759903153.......0676561350....HAWA NI MATAPELI WAKUBWA TENA WANA SMS ZA KUSHAWISHI MFANO "mimi nimefanikiwa kuhama ilibidi kwenda hadi tamisemi vipi wewe tayari?" ukiingia mkenge tu umeliwa...
 
Mie ni mwl shule za msingi nipo mwanza wilaya ya kwimba ,nahitaji kubadilishana na mwalimu alioko singida wilaya ya iramba mashariki
 
Mimi mwl. wa shule ya sekondari Oldadai iliyopo Arusha Dc natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka Tanga jiji shule yoyote. Kwa mawasiliano

0717743549
0765394591
 
KUWENI MAKINI NA MATAPELI WALIMU WENZANGU HAKUNA UHAMISHO WA HONGO NA WASIKU 7 AU MWEZI TAMISEMI...NAMBA ZIFUATAZO NI NAMBA ZA MATAPELI SUGU TANZANIA HII 0716111942......0782984643....0685202207.....0759903153.......0676561350....HAWA NI MATAPELI WAKUBWA TENA WANA SMS ZA KUSHAWISHI MFANO "mimi nimefanikiwa kuhama ilibidi kwenda hadi tamisemi vipi wewe tayari?" ukiingia mkenge tu umeliwa...

hiyo voda ya #0759903153 alidai yuko shinyanga manispaa,na ametafuta mtu wa kubadlshana nae eti akakosa,then dadaake "akamshika mkono" mpa tamisemi,ambako kuna "kishoka"akamsaidia kumwingiza ktk database ya tamisemi kwa wale watakao hama 2016...nilpo muulza zaid akanambia kuwa anipe namba ya huyo kishoka wake...nchat nae,nikaona huu ubwege!beware guys!
 
mwalmu yuko bukoba vijijini,anatafuta mtu wa kubadlshana nae kutoka manyara,shinyanga au simiyu!idara sekondari, 0769027920/0656803210
 
Mwalimu idala sekondari kutoka Lindi-Nachingwea anataka kwenda Morogoro, Iringa au Mbeya mchek kwa 0659466436
 
njoo arusha wilaya ya longido mie nije morogoro , iringa au mbeya idara ya sekondary, 0787055538 au 0713 386913
 
Njoo arusha mimi nije same contact 0787291334 or 0788628489 au nipm.gharama juu yangu ya kuhama.
 
Back
Top Bottom