WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
kuna mwalimu yupo mwanza anataka kuja Arusha,kama vipi ni Pm ili nikuunganishe nae @ Miss ToD
 
Kuna mwalimu yupo Tandahimba anataka kuhamia Mtwara manispaa. Idara Shule ya msingi.
 
Njoo MASASI…MTWARA, nije wilaya yeyote kanda ya kaskazini(KILIMANJARO,TANGA AU ARUSHA)
 
Njoo kagera, nije wilaya yeyote kanda ya kaskazini(KILIMANJARO,TANGA AU ARUSHA)sec 0758165769
 
Nmechoka kila siku ubungo to kongowe mbagala nataka nihamie hapa hapa ubungo.. 0654314066
 
Back
Top Bottom