WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo mtwara manispaa nije moro (mvomero, kilosa au mjini) idaea sec...0652112026
 
Njoo kagera Nije Kilimanjaro,Manyara au ARUSHA wilaya yoyote!sec 0758165769
 
Niko uvinza mkoani kigoma,idara elim sekondari naitaji mtu wa kubadilishana nae yeye aje uku,mia nataka kwenda arusha,dodoma au morogoro.0768053304 Au 0714850629
 
Last edited:
Njoo Ruangwa, Lindi
nami nije
Iringa,
Njombe,
Makambako,
Mbeya.
Idara Msingi.
Cont:
0654 25 63 97
0713 672 572
 
Mi ni mwalimu niko Singida natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi' ahamie Singida Mimi nihamie Babati mjini
 
njoo tanga kilindi mwalimu wa aje mkoa wa ruvuma au mbeya au iringa idara yake ni sekondari wasilana nae kwa 0684 973 854
 
njoo tanga kilindi mwalimu wa aje mkoa wa ruvuma au mbeya au iringa idara yake ni sekondari wasilana nae kwa 0684 973 854
 
Back
Top Bottom