Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi majina ya wanaohama kwa mwezi Januari huwa yanatoka tarehe ngapi kwa anayejuaWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Geita wilaya gani?Njooooo Geita nine buchosa mku
Njoo moshi nije meru au babati DC 0622310510, 0768310510, 0676799531
njoo nachingwea ni karibu na masasiNjoo kibiti nije masasi...mtwara kwa aliye tyar 0683708181
nipo elimu sec 0652 180502njoo nachingwea ni karibu na masasi
Huko ndiyo lindiNjoo MTWARA nije RUVUMA, IRINGA idara SEKONDARI Mawasiliano; 0673815018