WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kagera Nije Arusha, Kilimanjaro Manyara au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Mwl yupo Nzega Tabora idara sekondari ..anatafuta mwl wa kubadilishana nae toka Mbeya Wilaya yoyote.
phone: 0688700065
 
MIMI NI MWL SECONDARY'NATAFUTA WA KUBADILISHANA'AJE SINGIDA _NIENDE BABATI contact 0757784476
 
Njoo bukoba vijijini mwalimu aje simiyu,tabora,shinyanga au manyara,idara sekondari!0769027920\0656803210
 
Mwl yupo Kagera idara msingi anatafuta wa kuvadilishana na walimu mliopo nyanda za juu kusini hasa
Rukwa
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Dodoma
Tabora
Ruvuma
Singida
Dar
Pwani
Tanga
Singida
Mwanza
Katavi

0689976850 mawasiliano zaidi
 
Mwl yupo Rukwa idara msingi anatafuta wa kubailishana na walimu mliopo katika mikoa hii wilaya yoyote
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Tabora mjini

0689976850
 
Naomba niwaulize ninyi wafanyakazi wa Idara ya Elimu.

Je utaratibu wa kupata uhamisho toka sehemu moja kwenda nyingine ni lazima upate mtu wa kubadilishana nae kituo?

Na je huo mfumo uko rasmi kabisa na uko katika mikataba yenu ya ajira?

Na iwapo umekosa mtu wa kubadilishana nae na una sababu za msingi za kutaka kuhama kutoka kituo cha kazi ulipo inakuaje?

Kama ni mfumo rasmi au si rasmi je mmejipanga vp kuhakikisha mnapata uhamisho bila vikwazo vya namna hiyo?
 
Back
Top Bottom