WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu yupo kilindi tanga anatafuta mtu wakubadilishana nae toka wilaya ya songea mjn ..mbinga..mbeya..iringa au njombe idara secondary wasilana nae kwa 0768 766 457
 
Njoo Kagera idara mcng nije

Rukwa
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Dodoma
Singida
Mwanza
Pwani
Dar

0689976850
 
Njoo Ruangwa Lindi,
nije popote
Iringa,
Njombe,
Makambako,
Mbeya (v)
Mbeya jiji
Idara Mcngi
Cont:
0713 672 572
0768 672 572
0654 25 63 97
 
Nahitaji wa kubadilishana nae aje kongwa dodoma me nije mbeya mbozi,au rungwe aliye teyari tuwasiliane private message
 
Kwa mwl yeyote wa msingi aliyepo Mpanda na anahitaji kurudi Iringa anipigie haraka xna na.0753705024/0787705024.tafadhar uwe mkweli kama huna nia usipige anza kwa kutuma msg ukijitambulisha kisha nipigie huwa sipokei na. Ngeni plz kumbuka hilo tuma sms kwanza ktk na. Hizo kisha npigie kama ww n Tapel usithubutu kunipigia nimechoshwa na matapel.
 
Aisee anaetaka kutoka mbeya (wilaya yoyote) kwenda kigoma manispaa anicheki, 0766724329
 
Njoo kagera Nije Arusha, Kilimanjaro au Manyara wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Kisarawe pwani nije kahama mjini idara msingi. Njoo Kisarawe nije kilombero morogoro.
 
njoo korogwe halmashauri((Tanga) nije wilaya yoyote ya iringa yaani
-wilaya ya iringa (vijijini au mjini)
-wilaya ya mufindi
-wilaya ya kilolo
idara ya sekondari
0752737507
 
Njoo bukoba vijijini,mwal aje shinyanga,tabora,simiyu au manyara!idara sekondari!0769027920/0656803210
 
Back
Top Bottom