WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
njoo korogwe halmashauri(Tanga) nije iringa wilaya yoyote yaani
-wilaya ya iringa(mjini au vijijini)
-wilaya ya kilolo
-wilaya ya Mufindi
idara ya sekondari
0752737507
 
kwa mwalimu yeyote wa sekondari anayehtaji kubadilisha kituo'aje SINGIDA nije BABATI MJINI'contact 0757784476
 
Njoo kagera Nije Arusha, Kilimanjaro, Manyara wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
njoo arusha longido mie nije mbeya, iringa au morogoro, idara ya sekondai, 0787 055538
 
Nenda Namtumbo (ruvuma) yeye aje iringa(mufindi/kilolo), 0743874327.
 
Mwal yuko bukoba,anatafuta mwalmu kutoka shinyanga,simiyu,manyara na tabora!idara sekondari!0769027920/0656803210
 
njoo korogwe halmashauri nije iringa katika wilaya yoyote yaani
-wilaya ya iringa(vijijini au mjini)
-wilaya ya mufindi
-wilaya ya kilolo
idara ya sekondari
0752737507
 
Back
Top Bottom