Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Kuna mada maalum kuhusu uhamisho wa walimu nenda hapo utasaidika kwa harakaJamani mimi ni mgeni humu ndani, ila naombeni msaada kama kuna mwalimu wa secondary humu au mtu ana ndugu yake mwalimu anayetaka kuhamia wilaya ya kibaha mimi nataka kwenda Ilala au Temeke tubadilishane.
Arusha mjini hutaki?Njoo dsm Nije mwanza au moshi au Moro
Njoo Arusha Meru DcMimi in Mwl Wa sekondari nipo mwanza jiji nahitaji mwl wakibadilishana nae yeye aje mwz mimi niende manispaa yoyote katika jiji la Dar es salaam kwa mawasiliano 0757248589