Ibnu Nindi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 388
- 71
njoo kilindi tanga mwalimu aje songea au mbinga au Njombe au mbeya idara sec wasiliana nae kwa 0768 766 457
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njo mwanza nije arusha kilimanjaro. Singida. Dar. Tanga
njo tanga kilindi mwalim aje mwanza 0673 766 457Njo mwanza nije arusha kilimanjaro. Singida. Dar. Tanga
Njoo mwanzamimi ni mwalimu shule ya sekondari kambangwa ipo kinondoni dar es salaam natafuta mtu wakubadilishana nae nataka kwenda BABATI MANYARA
Kibaha mjini au vijijin,pia ni wa masomo yap?Jamani mimi ni mgeni humu ndani, ila naombeni msaada kama kuna mwalimu wa secondary humu au mtu ana ndugu yake mwalimu anayetaka kuhamia wilaya ya kibaha mimi nataka kwenda Ilala au Temeke tubadilishane.
Njoo mwanza 0757248589Kibaha mjini au vijijin,pia ni wa masomo yap?