WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu idara ya sekondari, natafuta mtu wa kubadilishana nae vituo vya kazi yeye aje tanga jiji nami niende dar es salaam manispaa yeyote. Alietayari tuwasiliane. Sim no 0713841863
 
Njoo arusha Meru shule ipo mjini yeye aje morogoro mjini, kibaha mjini au vijijini, tanga mjini, mkuranga, Kisarawe, Dar au chalinze idara secondary plz pm kama uko tayari
 
njoo lindi liwale shule ipo wilayani kuna huduma zote nije morogoro,tanga,pwani, kilimanjaro au arusha au wilaya ya lindi au kilwa 0627436149
 
Back
Top Bottom