WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari, anatafutwa mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi, yeye aje Bukoba Manispaa idara sek, yeye aende Morogoro Manispaa
MWALIMU idara ya sekondari natafuta MWALIMU w kubadilishana naye yeye aje arusha Mimi niende dar anichek 0673325699
 
Mwalimu:
a)Yuko bukoba vijijini idara ya msingi,anatafuta mtu kutoka mikoa ya singida,tabora,shinyanga au manyara
b)Yuko Bukoba vijijini,idara ya sekondari,anatafuta mwalimu wa kutoka mikoa ya Pwani,Tanga,au Morogoro
Nitafute Kwa 0769027920/0656803210
 
kwa mwalimu aliyeko maeneo ya chalinze ama kibaha ani pm apaye mtu wakubadilishana naye yeye aende moshi kutoka kazini hadi mjini nauli 400 tuuuu
 
Back
Top Bottom