WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
MWALIMU YEYOTE ANAYETAKA KUJA MWANGA KILIMANJARO NA MIMI NIENDE MOSHI MJINI 0768 408645
 
Njoo Arusha DC mm nije MOROGORO manispaa.idara sekondari.nafundisha ILBORU sec.0658221998,0764776655
 
njoo Singida npo sehem nzur sana ina kila kitu nije Mbulu kuungana na familiya yang 0787228141
 
njoo Singida npo sehem nzur sana ina kila kitu nije Mbulu kuungana na familiya yang 0787228141 idara sec
 
Mwalimu yupo Bukoba,idara sekondari,anatafuta mwalimu wa Kutoka mikoa ya Tanga,Morogoro au Pwani 0769027920/0656803210
 
Mwalimu yupo bukoba,anatafuta mwalmu wa kutoka Tanga,Pwani au Morogoro!idara sekondari 0769027920/0656803210
 
....kama upo arusha, tanga baadh ya wilaya. Manyara, kilmanjaro.singda. morogoro na unapenda kushka maeneo ya kusini rukwa wilaya ya kalambo idara sec pia ntafte
0763 240 278
 
Back
Top Bottom