WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
We fundisha,au ulikuwa tawi la sagenge nn? Hahahahahahaaaaa,nahisi fimbo kakutisha kukupeleka ikomwa
 
Natafuta Mwl. wa Kubadilishana idara ya msingi. Aje Tabora mjini(Uyui), niende wilaya yeyote mikoa ifuatayo; Mbeya, Njombe na Iringa.
Kwa atakayekuwatayari tuwasiliane kupitia simu namba 0782229781 au 0758220604
 
Mwalimu wa kubadilishana nae aje karagwe nije geita au mwanza idala ya sekondari.
 
Njoo LUDEWA MKOA WA NJOMBE
nije iringa mjini, makambako,
Mafinga,
Mbeya jijini
Nitafute 0753923520
 
Njoo Bukoba yeye aje Tabora manispaa au wilaya ya Nzega,mawasiliano yake ni 0712285689
 
Back
Top Bottom