WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu shule ya msingi, Niko nzega , nahitaji anayetaka kuja nzega tubadilishane, Mimi nataka kwenda moshi mjini au moshi vijijini arusha mjini, kwa anyehitaji ani PM.
 
NJOO DAR UFUNDISHE MINAKI HIGH SCHOOL (KISARAWE-PWANI) NIJE ILEMELA AU NYAMAGANA. MASOMO YA ARTS TUNANAINGIA DARASANI MARA MBILI KWA WIKI, UKIMALIZA VIPINDI VYAKO RUKSA KUONDOKA, ZAMU UNASHIKA MARA 1 KWA TERM, SHULE INATOA CHAI NA CHAKULA CHA MCHANA.USIWE UNAFUNDISHA SHULE ZA VICHOCHORONI SANA......!!! TUTAFUTANE VIA 0756 555595 AU 0715 0055955.
Umetishaaa
 
Njoooo! Njombe wilaya ya ludewa mjini natafuta uhamisho wa kwenda iringa mjini,
Makambako
Wanging'ombe
Mkuranga
Mbeya jijini
idara ya secondary
My contact 0753923520
 
natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka
maeno ya arusha,manyara,moshi mjini&vijijini
aje tabora kaliua karibu na mwanza nauli 20000,kahama nauli 10000
IDARA YA MSINGI NA MWINGINE SECONDARI mawasiliano 0756486591
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Njoo wilayan ya singida nije wilaya ya rombo au mosh vijijin au hai au mwanga idara sekondari. 0757409740 au 0684 274 398
 
Mimi npo SINGIDA NAHITAJI MTU WA KUBADILISHANA NAE NIENDE ARUSHA WILAYA YOYOTE AU KILIMANJARO. Idara ni SEKONDARI 0769591585
 
Mimi nipo Rorya,elimu sekondari. Nina miaka zaidi ya kumi. Ninatafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka wilaya yoyote ya mkoa wa Manyara.
 
Back
Top Bottom