WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natoka same- kilimanjaro, natafuta wa kubadilishana nae niende dar. Masomo yangu ni math/geo, mawasiliano 0756513325
 
BREAKING NEWS

Mwalimu aliyepo Moro manispaa njoo fasta Tanga jiji aje huko ni fursa adimu.idara secondary 0713142568
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha na morogoro vijijini na mvomero 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Jamani mim ni mwalimu wa Sekondari,
Nimeruhusiwa kuahama toka manispaa ya Bukoba kuhamia halmashauri ya wilaya ya kahama,
nilipoleta barua kwa afisa elimu kahama anadai hakuna nafasi nitafute anayetaka kuondoka kahama ili nichukue nafasi yake.
Japo sikuamini kama kweli hakuna nafasi na hakuna anayetaka kuondoka kahama ila yanipasa kutimiza mashart ya mama
YEYOTE ANAYETAKA KUONDOKA KAHAMA KWENDA POPOTE TUWASILIANE JAMANI Kabla dirisha la uhamishi la mwaka huu wa fedha kufungwa. tuwasiliane no.0713134926 au 0763061425
 
NAhitaji mwalimu wa KUHAMA kahama aende popote anapoamini atapata nafasi
nasema aende popote sababu mimi nlimeruhusiwa kutoka bukoba mjini, ila kahama afisa elimu anasema hana nafasi nitafute anayetaka tutoka kahama ili nipewe mimi nafasi yake
mawasiliano: 0713134926 au 0763061425
 
mimi mwalimu wa sekondari nipo TABORA MANISPAA...kama kuna mtu yupo dodoma manispaa, morogoro manispaa au kibaha anataka kuhamia tabora mjini niPM.............
 
Habari za muda huu walimu NATAFUTA WA KUBADILISHANA..AJE SINGIDA NIENDE ARUSHA WILAYA YOTOTE....IDARA SEC #0769591585 ...
# muda umekimbia jamani tuchangamke tuhame July
 
Back
Top Bottom