Ndugu jamaa na marafiki,basi naombeni hata mwenye ndg wenye hitajio lakuja kagera Misenyi mie nije Ilemela/Nyamagana Mwanza Idara sekondari. plz naombeni mnisaidie jamani. Shule ipo jirani na Bukoba mjini mwendo wa dk15-20 kwa gari. shule ipo barabani Mtukula Road. plz thats serious case. 0763275320. utanipata kirahisi.