WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu aliye tayari kuja Rungwe toka Dar es salaam tuwasiliane
0755909650
Idara msingi
 
Mwalimu aliye tayari kuja Rungwe toka Dar es salaam tuwasiliane
0755909650
Idara msingi
 
TUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa MBEYA.
wilaya ya;
1. Mbeya mjini
2. Mbeya vijijini
3. Rungwe
4. Mbozi
5. Busokelo

NJOO UISHI mji mdogo 😳MAHUTA😳
Idara ya sekondari.0759410327{voda} au 0672109757{tigo}.
 
mwalimu aliyetayali kujaa simiyu karibu na mwanza jiji hapa kutokaa mbeyaa tubadilishanee idara sec! 0756945368
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Naitwa Mwl Kimambo
idara ya sekondari
0658825141
0625695870
 
Njoo Moshi nije Dar /mkuranga
idara sekondari
0658825141
0625695870
 
Njo kahama kama upo :-
~Mbeya jiji
~Rungwe
~Njombe
~iringa
~kyela
~mbalali
Idara secondary
Ni pm kwa mawasiliano zaidi

~
 
Back
Top Bottom