WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo singida manispaa nije tanga korogwe mji,tanga jiji au morogoro manispaa,Idara secondary 0783180191
 
Njoo Dodoma wilaya ya Mpwapwa karibu kabisa na makao makuu ya nchi, usafiri(lami) na umeme wa uhakika. Mimi nije Gairo, Bahi, Mvomero au Kilosa.

Idara ya Sekondari.

Cont: 0784833693, 0757603396.
 
MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI HALMASHAURI YA KILOLO -IRINGA, NAOMBA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI NA MTU TOKA WILAYA YA HANDENI -TANGA. 0753235211
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Mbeya
Morogoro
Pwani
Songea
Iringa
Mbeya
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Mbeya
Morogoro
Pwani
Songea
Iringa
Mbeya
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Mbeya
Morogoro
Pwani
Songea
Iringa
Mbeya
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Mbeya
Morogoro
Pwani
Songea
Iringa
Mbeya
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Back
Top Bottom