princessdecruiz
Member
- Apr 28, 2015
- 26
- 4
Njoo kilosa,moro nije mwanza nyamagana au ilemela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo bulyanhulu mwanza nauli sh 5000 usafiri uhakika masaa 24Njoo kilosa,moro nije mwanza nyamagana au ilemela
Pako vizuri uliza watu umeme masaa 24 magari ya kwenda dar yapo pana machimbo ya dhahabu pako poa sana wengi wanapapenda sanaHilo jina tu mi hoi
Njoo mbeya nafundisha mbeya vijijin eneo mbalizi hapa hapa. Aliye tayari tubadilishane tanga, moro ,pwani ,dar ,kilimanjaro ,arusha . 0655538380 idara msingi aliyeko tayari tubadilishane
Njoo mbeya nafundisha mbeya vijijin eneo mbalizi hapa hapa. Aliye tayari tubadilishane tanga, moro ,pwani ,dar ,kilimanjaro ,arusha . 0655538380 idara msingi aliyeko tayari tubadilishane
Njoo kilosa,moro nije mwanza nyamagana au ilemela
Idara sekondariNjoo Arusha, ngorongoro nije Mwanza, Tabora, Kahama, Nzega, Dodoma mjini#0762770455
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums