WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kilindi Tanga aende Songea Municipal, idara ya sekondari
Contact 0716786105 or 0763078602
 
1.Njoo Ngara - kagera Nije Arusha,Kilimanjaro wilaya yoyote secondary!

2.Njoo Ngara - kagera Nije Morogoro ,Pwani ,au Tanga wilaya yoyote sekondari!

Mawasiliano
0712272365/0758165769
 
Njoo Minaki High School (Kisarawe-Pwani), shule ipo karibu na Pugu High School.Mie nije Nyamagana/ Ilemela au Magu- Mwanza. 0715005595
 
Njoo Njombe Mji nije sehemu yeyote kati ya hizi[emoji116]:
Kilwa
Kibiti
Kisarawe
Bagamoyo
Chalinze
Kibaha
Mlandizi
Kwa Matiasi
Temeke
Ilaa
Kinondoni
Kigamboni
Idara sec.
0759007829
 
Back
Top Bottom