WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Kuna mwalimu anaomba uje Iringa DC yeye aje Morogoro municipal au Mvomero
 
Njoo Ruangwa Lindi
nije popote
Pwani
Dar
Iringa
Njombe
Mbeya na
Songwe
Idara msingi
0768 672 572
0757 21 22 10
 
Njo mbeya niko mbalizi mjini kabisa .mimi nije morogoro , dar, pwani, tanga ,arusha na kilimanjaro mwlm yoyote alie kaskazin tubadilishane idara msingi.
Kuna jamaa yupo mkoa wa Pwani wilaya ya mafia upo tayari nimuambie muanze mchakato
 
Niko Kahama Town nataka Wa kubadilishana naye me niende Mwanza uliyoko tayari ni check
 
NJOO PWANI MAFIA
NIJE
IRINGA
MOROGORO
TANGA
DODOMA
DAR ES SALAAM
kibaha
Kisalawe
Bagamoyo
Chalinze
Idara Msingi
0712344257
 
Njoo lindi wilaya ya liwale nije mbeya,njombe,iringa au morogoro idara ya sec.
 
Back
Top Bottom