WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mtwara kubwa wilaya gani kata na kijiji chake umbali toka halmashauri mpaka kituo cha kazi.mahitaji muhimu kama usafiri afya chakula shule za private za watoto wadogo zipo
 
ww veeepe!!? hiyo title yako imetusitua bwana. wenzako mpaka leo tunangj uhamisho na hautoki ww cjui huyo atakaekuhamisha ni serkal ipi na mwaka upi!!!!!
 
NJOO(Kilindi)TANGA NIJE BUSEGA,BARIADI,MAGU,CHATO,MISUNGWI au KWIMBA.Idara Sec,Na:0683067511/0769325378
 
Njoo mbinga nije mbeya (V) (M) chunya,mbozi,songwe, umalila, chimala, ileje, tunduma, ifumbo, idara secondary 0754015241
 
NJOO SHINYANGA MJINI NIJE SINGIDA IRINGA MBEYA MOSHI MOROGORO
0716-47-36-28
 
Njoo Bukoba Manispaa idara sekondari aje Morogoro Manispaa, Kilosa, Ifakara, mvomero, IRINGA MANISPAA AU mbeya jiji [HASHTAG]#0757463047[/HASHTAG]
 
Njoo lushoto mlalo nije kilimanjaro
au arusha ...Huduma zote muhimu za kijamii zipo 0753983236
 

Attachments

  • IMG-20160901-WA0000.jpg
    IMG-20160901-WA0000.jpg
    35.6 KB · Views: 50
Bado tu mnatafta wa kubadilishana wakat wenzen amabao walitakiw wahame tangia july mpaka leo hatima yao haijulikan nahid mnamjarib mkuu
 
Back
Top Bottom