WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Idara elimu msingi . Njoo chalinze mimi nije kahama mjini. Kwa mawasiliano ni pm
 
Wandugu habari...?nina dada yangu yupo kahama mwl.wa sec,anataka mtu wa kubadilishana naye wa pwani(kibaha,kisarawe,chalinze,bagamoyo) au wa dsm
Habari. Nina mtu yuko chalinzi yeye ni wa msingi. Anaweza badilishana na wa kahama. Twaweza jaribu kwani wote ni walimu sidhani kama kuna kipingamizi sana kwenye taaluma moja.
 
njoo Songea nije Morogoro, Iringa au Mbeya. idara sekondari

0788325376
 
Mwalimu jimmy idara ya sekondari natafuta mtu wa kubadilishana vituo vya kazi njoo tabora jiran na mwanza ,kigoma ,mpanda na singida nije nyanda za juu kusini mikoa ya mbeya iringa ruvuma na lindi 0757612423
 
NJOO SHINYANGA MJINI NIJE
SINGIDA
DODOMA
MOROGORO
IRINGA
MOSHI
0716-473628
 
NAFASI YA KUHAMIA TANDAHIMBA YEYE AJE MOROGORO, BIHARAMULO AU MWANZA JIJI.... PM tafadhari
Idara ya Elimu Sekondari
 
Njoo Halmashauri ya Geita nije moja kati ya mikoa/wilaya zifuatazo;
Dodoma Municipal
Morogoro Municipal
Kibaha
Bagamoyo
Korogwe Mji/DC
Tanga Jiji
Dar es Salaam.
Idara-Sekondari.
 
Back
Top Bottom