Mpenda kazi
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 178
- 104
Wadau tulioomba uhamisho wa mwezi wa 6. Kuna tetes zozote zinazotoa matumaini ya kutolewa kwa majina mwezi huu wa 9 maana tuliambiwa baada ya miezi miwili na tayari imeshatimia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na taarifa za intelijensia ni kwamba uhamisho hakuna mwaka huu.
Jamani mbona sijawahi ona mtu anayetaka kuja Tarime? Au watu hawapendi kurudi kwao, Jamani rudini kwenu na si twende kukaa na familia zetu!
Njoo Meatu,nije Shinyanga!Idara ya Sekondari 0627829052NJOO SHINYANGA MJINI NIJE
SINGIDA
DODOMA
MOROGORO
IRINGA
MOSHI
0716-473628
niko Meatu,ni karibu na Manyara!njoo nzega mjini nije dodoma,manyara,pwani,tanga au morogoro idara ya sekondari (0682898976)
Nami ni add kwa 0658343890
Ni Add na Mie...0627829052Nami ni add kwa 0658343890