WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Jamani uhamisho ulishafutwa au? Maana sasa tunasubiri mawazo ya mtu mmoja
Uhamisho haujafutwa upo ingawa utachelewa kiasi coz kuna taarifa kuwa mkuu wetu wa nchi hajaridhishwa na zoezi la uhakiki inahisiwa kuna udanganyifu umefanyika ndio maana zoezi linarudiwa tena kuanzia tar 3 oct . baada ya hapo mambo yatakuwa sawasawa msihofu watumishi neema yenu yaja.
Source: chanzo makini na cha uhakika.
 
Njoo mwanga kilimanjaro nije Morogoro mvomero au moro vijijini au kilosa elimu sekondari 0652023033
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje kilimanjaro wilaya ya Same . Mm nije kati ya njombe mji,mbeya jiji, iringa municipal,songea municipal. Aliye tayari anicheki Pm tupeane mawasiliano! Idara ni elimu sekondari.
 
Njoo same kilimanjaro! Nije iringa mc,njombe mji,mbeya city au songea manispaa. Sms Pm .idara elim sek
 
hivi huo uhamisho utapitishwa na nani wakati tamisemi hata uhamisho wa mwezi june hatwataki kutoa!! au june wamepotezea na badala yake wanapitisha uhamisho wa decemba
 
Back
Top Bottom