Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,738
silabus ina elekeza tu vitu gani vya kufundishwa kwa level flani ya elimu kwa o level kinaonyesha madarasa yote kama ulitaka kuulizia kitabu cha hesabu mwambie tu akaaazime kitabu shuleni vipo vingi sana vililetwa kwa msaada (change ya rada) me nakushauri mnunulie mwanao vitabu vya sanaa ndo kuna upungufu mkubwa sana wa vitabu hivyo! kwa ushauri zaidi ni pmWalimu naomba msaada, ni kitabu gani cha silabas ya sasa cha Hisabati kwa mtoto wa form one? hata kama Kuna picha ya kitabu naomba aiweke