WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Lushoto tanga idara ya msingi nije Kilimanjaro wilaya yoyote 0758121353, 0684533627
 
Anaetaka kuja Mkuranga kutikea kibaha mji/vijijini ..idara secondary anipm tuanzr mchakato
 
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?
Sio kweli,kuna mwalimu Wa kiume alimfuata mke wake nilishuhudia kabisa inawezekana
 
Njoo Mbinga nije mbeya (V)(M) songwe ,ileje, umalila, chunya ,,chimala, idara secondary 0624795534
 
Wapendwa heri ya krismas! Mi ni mwalimu idara ya sec natafuta Mwal wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Aje mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi na na mimi niende sehemu yoyote ile katika mkoa wa iringa. No yangu ni 0719221365
 
Back
Top Bottom